Tunaweza kumlaumu Shime ila ki uhalisia Ile team kocha yeyote angekosa matokeo
Wachezaji wote muhimu hawakuwa ndani ya team kwa ukamilifu
Clara ,Aisha masaka,Aisha Mnunka ,Winfrida n.k
Team haikuwa imepewa hamasa yoyote wako kama yatima
Wadau walikuwa wanangoja wafike final ndio waanze kuwavunja moyo
Anyway warudi nyumbani
NB:
Nina mashaka kama hata posho zao wamepewa