Oh maskini,mke wa kwanza shidaaaaa

Atakuwa anaupenda ufirst lady zaidi ndo mana bado wapo wote alivyonuna dah.
 
ingekuwa kinyume chake angesepae? Lakini mara nyingi namwona Mkuu akiwa na huyo mwenye red
 
Naikumbuka ile scandal ya zuma kumgegeda ke mwenye HIV+ jamaa alijitetea kwa kujibu kuwa hakuambukizwa virusi coz baada ya mechi chapchap alinawa maji medicated soap!
Tangu siku hiyo amenipa somo nikiwa na miadi na demu lazima nitimbe na dhana mbili CONDOM+DETO!
 

Utaangamia wewe mtoto
 

Usidanganyike hata siku moja.
Hali yake ya kiafya anaijua yeye mwenyewe. Kwani baada ya kusema hajaambukizwa walimpima tena kudhibitisha?
 
Du Zuma kibokooo na wote hao wanapata haki yao sawia...

Ndio ni sawia, maana anapokuwa yuko zamu kwa mumoja waliobaki nao wanapata haki yao kupitia watumishi wa kiume wa ikulu. hivyo ngoma droo, kama yeye anagawa dose kila siku hata wake zake pia wako kazini everyday! Hivi ndivo inavyokuwaga kwa ndoa zote za mitaala!
 
Kuoa raha lakini karaha.

"Nlikiwepo":bolt:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…