Huyu Jaji Mkuu wa JMT nimemsikia mbele ya Jeneza. Umakamu wa Rais na Hata Rais wa zijazo wa Tanzania haujapungukiwa na wenye uwezo huu.
Kanifurahisha sana Kiongozi ukilala uote jinsi ya kuwatumikia na kuwa nufaisha unaowaongooza si ndoto za kijinufaisha wewe, familia yako, na mafisadi wanao kuzunguka. Na ongezea si ndoto za mipango ya jinsi gani kibaraka wako fisadi mwenzako wakati unatawala kipindi cha nyuma atapataje Unaibu Rais.
CDF naye ana dokezo kwa hayati kwenda kwa Rais wa JMT Samia SH. Hopefull ni kuhusu kuhakikisha genge la Mafisadi halipati upper hand tena Tanzania