Unajua huu upuuzi wa kuwashtaki shtaki wabunge,wanakuwa hawashiriki kwenye kazi zao kikatiba nadhani uwekewe utaratibu mpya.
Wakati wa bunge,mbunge anapaswa kuwa bungeni na kama kuna jambo lolote ambalo linaweza kumzuia kufika bungeni na pia linaloweza kuahirishwa basi liahirishwe mpaka baada ya vikao vya bunge!