OGwhatsapp ndio basi tena?

Wadau na vipi kuhusu whatsapp plus kuna version yoyote mpya? Mwenye nayo anisaidie link.
 
Leo nimeamini jamiiforums ndio kila kitu hii kitu iko poa sana asanteni wadau.
 
Labda, ila kuna wadau hapa wanasema inapiga kazi kama kawaida.

Still inapiga kazi kama kawaida but kama unayo mda mrefu kwa simu... maana yake niki uninstall na kurudisha tena itagoma kuwa activated, hivyo kwa wale wapya ni vigumu sana kuweza kutumia OG kwa sasa.
 

Attachments

  • 1427477524554.jpg
    41.6 KB · Views: 234
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…