OGwhatsapp ndio basi tena?

romarry

Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
65
Reaction score
22
Habari wakuu nadhani baadhi yetu tunaijua ogwhatsapp kam mbadala wa kutuwezesha kutumia namba mbili kwenye simu moja...

Naona toka majuzi imekua ikitoa notifications za ita expire baada ya siku 3 na jana ndio ime expire mazima na hamna update yoyote ile, ndio kusema developer ameisusa au?


Je kuna mbadala wake wakuu?


UPDATE:

Atimaye imepatikana version ile ile ya OGWhatsapp ambayo inafanya kazi imeondolewa Update check, na imefanyiwa marekebisho kidogo kama inavyoonekana kwenye Screen shots... Ipakue hapa na ulete mrejesho ukifanikiwa https://www.dropbox.com/s/rt7yp7pfvb...tsapp.apk?dl=0

 
Usipanic mkuu, kupanic hupunguza uwezo wakufikiri Osama he's working on that.
 
mbona inapga kazi effectively tu mkuu check latest version google au blackmart alpha store
 
Salaam wakuu...nina hitaji msaada juu ya hiii OGwhatsapp maana kwangu version imekua obsolete na naambiwa nidownload nyingine na kila nikitafta apk ya version mpya napata version iloexpire ndo ya juu....je nifanyeje ili niendelee kupata two WhatsApp kwa device moja????

Msaada please.

Cc: Chief-Mkwawa C6 mwl-rct Bulldog
 
Last edited by a moderator:
tuko wengi kumbe daaah mie mwenyewe tokea jana inazingua aiseee
 
Whatsapp waliwataka watengeneza unofficial apps zake waache mara moja. Na ziondolewe mitandaoni hasa hasa for security reason. Ikiwemo hiyo Og na plus.

Walobahatika kuwa nazo ndo hao hao wanamalizia kujikongoja nazo mpaka zitakapo expire.
 
Whatsapp waliwataka watengeneza unofficial apps zake waache mara moja. Na ziondolewe mitandaoni hasa hasa for security reason. Ikiwemo hiyo Og na plus.

Walobahatika kuwa nazo ndo hao hao wanamalizia kujikongoja nazo mpaka zitakapo expire.

Kwahiyo ikiisha-expire ndio basi tena?
 
In Kwamba Zhao huwa wanadevelope code za original whatsap na genuine what'sapp hawaja advance chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…