Mkome.mnarukaruka ovyo kama samaki wanaodandia vyambo. Kila mkiona suruali vinena vinawacheza hyky mkichungulia mifuko ya nyuma ilivyotuna.Mtaendelea tu kugongwa hata mjihadhari vipi.We mume unakutana naye siku moja anakuhaidi 20 m hujiulizi mara mbili?
Hujawahi kusikia matapeli wa mapenzi? That dude ni tapeli, sio mario. Mario anajikalia hapo, kusubiri kila kitu kwa mdada, huyu alienda na target za kumtindua, kumuibia, kumdanganya...so ni tapeli tu hamna namna!!