OGOPA SANA mwanaume wa Hivi..

OGOPA SANA mwanaume wa Hivi..

Unajidanganya tu, utafuta namba kwenye simu kichwani haijafutika, utaanzisha mahusiano mapya yeye ndio the best usajili mpya umefeli, unafuta picha na conservation zote bado anaishi moyoni mwako.
Uwe mpole tu angalia wapi unakosea then tulia kwenye mahusiano yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni bora ku move on kuliko kubaki kwny mahusiano peke ako , maisha ni mafupi kujipa stress na mtu ambaye hana muda n ww .
Unajidanganya tu, utafuta namba kwenye simu kichwani haijafutika, utaanzisha mahusiano mapya yeye ndio the best usajili mpya umefeli, unafuta picha na conservation zote bado anaishi moyoni mwako.
Uwe mpole tu angalia wapi unakosea then tulia kwenye mahusiano yako.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalaaam
Kama wewe Dada, Mama au Binti.
Umewahi Kuwa kwenye mahusiano Na MTU.
Mkapendana mkaitana majina yote Na kwenye mapenzi ukafurahia ...
Ghafra ukaanza kuona changes....basi jua Huyo keshaenda Kwa mwingine
Utajuaje?
Ataanza sababu nyingi sana.
Ukipiga Simu Hata Mara 10 aweza kutafuta kesho ake akisema alikuwa anaichaji wkt unamjua hawezi kukaa mbali Na simu lisaa zima.
Ataanza kukupotezea mdogo mdogo
Mara Mama yangu ananichunga Sasa hivi wakati mama yake wala hajui mambo yake Na Ni libaba jitu zima.
Mara ataanza kukujibu shit Na kukukera.
Sasa IPO hivi:.
wadada wengi wapo smart sana.
Hizi dalili wakiziona hukaa Pembeni.
Huku huyu Fisadi wa mapenzi akigundua mbona huyu kama kanishtukia mapema(lengo lake kusikilizia kila upande huku kupya kukizingua awe safe side..Sasa kwa Kuwa hawezi kubalance anaegemea upande kwanza
Sasa baada ya huyu Dada kumpotezea Bazazi huyu huanza karudi the a Na Sweet words.
My Dear sisters and friends stay out from that called play Boy...whatever ..
Nini cha kufanya Sasa.
Ukiona anaanza style za kurudi wewe mpotezee mazima.Value yourself.
1.Futa Picha zote mlizowahi piga pamoja
2.Futa no.Zake zote Na njia zote za social media.
3.Anza upya kwa kuanza mahusiano Na MTU anayejielewa .(mpime kwanza) Mana kusema utakuwa single Ni uongo.
4.Hakikisha unamfuta ndani ya moyo wako completely.
Najua hii Ni ngumu sana Hasa kama ulimuweka moyoni muda mrefu.Sasa Ni lazima ujikaze kwa jili ya Ustawi wa future yako..
Mara nyingi wanaume hawapotezi sana kama wadada.Ndo Mana they can do whatever they want to do without care.
Amini.Wa kwako yupo Ni vile hamjaonana tu mtaonana tu but mwache sense huyu anayekutesa.Be smart.
Why uteswe Na binadamu mwenzako mliyekutana ukubwani?why unyong'onyee Na kukonda huku ukimwacha akila Raha?
Mwache aende .
Kuna watakaosema labda kuna makosa alilosea huyu Dada .Ukweli upo wazi kwenye mapenzi hakuna malaika wote hukoseana Bali uvumilivu Ndo hufanya kuwepo.
Sasa isiwe kisingizio cha mmoja kumuumiza mwenzako wkt wote wakichambuana wana makosa.Is better to let go than staying in a Toxic relationship.
Tutofautishe kuvumilia kwenye mapenzi au kupotezeana muda.
Ewe mwanaume popote ulipo acha kupoteza muda wa wadada.
Utalaaaaaaaaaaniwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi kweli kweli, bado kidogo tumalize mwaka eeee Mungu epush mabalaa tufike mwaka mpya 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama Huyo mwanaume Hata kama Ni hivyo unavyosema Ni kweli haeleweki Mana yake Ni nini?Si afadhali.MTU ukafumba macho ukaanza upya??
Unajidanganya tu, utafuta namba kwenye simu kichwani haijafutika, utaanzisha mahusiano mapya yeye ndio the best usajili mpya umefeli, unafuta picha na conservation zote bado anaishi moyoni mwako.
Uwe mpole tu angalia wapi unakosea then tulia kwenye mahusiano yako.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom