Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,131
- Thread starter
-
- #21
Wanatumia bitcoin kulipwa, hapo tunaongelea deepweb, pia wanaclaim pesa mingi sana, abt 150usdKwani wanataka Bei gani?
Payment channels wameweka zipi na zipi?
Kuna mdau hapa JF aliwabembeleza kwa kuwambia hali ya uchumi wa nchi yetu na wakamtumia Program ya kuzifungua!
Jaribu kuwalilia wanaweza kukuachia ila kama pia wamedai hela kidogo fanya uwape maana lengo lao kiyafunga ni ili wapate pesa ukishawalipa
Ila haya yote ni kama una Value hayo mafile na hauna uhakika wa kuyapata hayo mafile tena bila kuingia gharama kubwa!
Ina protect sana ila kuwa makini na link na apps ambaxo unaruhus zipewe acces na firewallhivi internet security si inaprotect ukiwa net...
Yaaah ni kweli, c haikuwa na antivirus pia kwa sasa hakuna kampuni yene uwezo wa kudecrypt .cerber3 files, only wao wenyewe ndio waanuwezo, ila zipo kampuni nyingi kama trend micro titanium zina uwezo wa kudecryp ransomware nyingi ikiwepo cerber1 .Hii inawapata sana watu mnaofanya illegal stuffs online, unapokua unavamia torrents, pirate movie sites au kutumia flash za watu mara kwa mara, alafu unatumia windows na hauna protection yoyote ile basi una matatizo.
Pitia google nadhani utapata njia ya kudecrypt, lazima kuna antivirus company itakua ime-reverse engineer kujua encryption algorithm wanayotumia hawa jamaa na kujaribu ku-decrypt. Pole sana kwa yaliyo kukuta, ningekua ni wewe ningeformat kila kitu na kuanza tu upya.
Ni kweli kabisaa, mi ndio kwa mara ya kwanza nimekua mhanga wa ransoware aisee.Pole mkuu huwezi jua mpka yakukute.
Cerber3 walishalamba solution ni ni kuformat tu , au kama una roho ngumu ni kujitoa mhanga wa kuwalipa tu.Labda ungei restart hiyo pc kwenye SAFE MODE kisha kama mafiles yangekuwa salama ungeyacopy kwenye external
Sina utaalamu na linux , kwa hilo siwez kusema chochote mkuuVipi kwenye Linux Distros wanaweza penya maana kila changes inayotaka kufanyika mpaka authentication.
Kosa kubwa ni kutokuwa na backup, kama ndio vitu vinakupatia tonge la ugali ni vyema kuwa na backup ila wengi hupuuzia hili swala, pole sana.Sina utaalamu na linux , kwa hilo siwez kusema chochote mkuu