Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,131
Daaaah thanks kwa tahadhari mkuu manake hili swala la kufungua fungua link limekithiri sana mara unaambiwa sijui goldwhatsapp mara u claim cjui vitu gani kumbe wanakuingizia vituHABAR,
Wakuu hiyi kitu inaitwa .cerber3 ransomware, ni kirusi kibaya zaid ya kilichowahi kutokea dunian kwa sasa
Kinafanyaje kazi: kinaingia kwa njia za kawaida kama kirus kingine tu, ila hiki ni kwamba kina enrypt mafaili yako yote kwenda .cerber3 enxtension pia kila ndan ya folder waliokula wanaweka link yao
Ransomware: from the word ransom, inabid uwalipe kupitia hio link waliokuwekea ili basi wakufungulie hizo files zako kwa maana wanatumia very strong encryption method
Kwa sasa hakuna antvirus ambao wana uwezo wa decrypt hizo files zao ila zipo method baadh ambazo sina uhakika kama zinafanya kazi
Google search: how to restore files infected by .cerber3 ransomware
Nimejuaje; : mimi mafaili yangu yote ya kuflashia simu zaid ya 300gb yameliwa, maelfu ya nyimbo mp3 zimeliwa videos, pictures, documents pdf, docx, pptx, excels, yana kifupi wameniacha mtupuuuuuuuuuuuuu
Nipo kama fala , tena fala kweli kweli mwenzenu, hii natoa tahadhar, tabia ya kudownload download kijinga jinga, kufungua email za ovyo ovyo, link za kijinga jinga acheni, nilimuachia mdogo wangu PC na hicho ndio alichonionesha asubihi hii, nahis kama kubanwa na haja kubwa vile mwenzenu
Naomba msome google kuhusu hio .cerber3 ransomware,
Kwa sasa nipi nahangaika kudecrypt, /kurestore my files
Nikifanikiwa nitarud ndugu zangu,
Nawapenda, stay safe
Internet si mahala salama
Wenu mtiifu
Multiphill90 a.ka mhanga wa .cerber3 ransomware
Kama una maswali au unataka kunipa msaada
0714726165
Akhsanteni
View attachment 407640View attachment 407641
Nawazia huu mziki wa kudownload ipya mafail ua kuflashia simu na hizi software, fulk drivers, mbona wamenioa bila mahariiiiPole sana mkuu hizi virus zimetesa sana watu, hakuna njia yoyote unayoweza kutumia kurudisha files zako zaidi ya kuwalipa wakupe hiyo decrypting tool pamoja na private key. Ubaya zaidi ni kwamba huna uhakika kama watakupa pale utakapo walipa, hapo kama una backup format kabisa PC yote uanze upya.
Virus ya aina hii ni hatari kubwa sana, inaweza kutumika hata kuangusha uchumi wa nchi, jaribu kufikiria ikingia sehemu kama BOT, TRA au TPA ikapiga encryption mafaili yote na kwenye Backup site zao. Hawa jamaa wanaweza kuidai serikali hata trillioni za kufa mtu na serikali ikalipa tu maana hakuna jinsi ya kuyarudisha hayo mafile zaidi ya kupata key/decryptor kutoka kwao.
Ni kweli mkuu, kuna method mbili hapa najaribu zikibuma naformat tuHuyo virus hafai, sijasikia mahali popote namna ya kukabiliana au kurudisha mafile yaliyoathiriwa na hicho kirusi. Hata hiyo njia ya kutuma pesa wanayoitaka wao sidhani kama inauhakika wa kufanya kazi, unaweza kuwapa details zako wakakupiga na mpunga kwenye account yako. Nafikiri ni kuwa makini na kudownload download vitu huku tukifanya backup za data zetu mara kwa mara.
Shukrani kwa tahadhari multiphill90
Ni kweli mkuu, kuna method mbili hapa najaribu zikibuma naformat tu
Mkuu yan more than 300gb files za simu , naona nimepigwa please wait ya ufundi, hawa jamaa ni mbwa aiseee, roho inaniuma kichiz yanPole sana mkuu, kuna laptop ya bosi mmoja ilivamiwa na huyo mdudu haikupatikana suluhu yeyote. Mkanada alichanganyikiwa, uzuri kulikua na backup ya file zake ndio kidogo ikawa pona yake.
Mkuu sikatai, ila kumbuka kila kitu kina udhaifu wake/backdoor ndio maana hata kina google, yahoo pia wanakua hacked, so long unatumia mtandao kwenye pc yako basi hauko salama, unless unatumia cloud systemsTatizo letu mpaka kikutokee ndo unajua kuwa na mazara.kinga ni bora.ukuchukua tahazari maana ujalinda mfumo wako.kirusi haki hivi hivi kama kompyuta uja weka ulinzi zubuti
Kwani wanataka Bei gani?View attachment 407644hawa jamaa ni mbwa tena mbwa koko, maanina zao
Kwani wanataka Bei gani?
Payment channels wameweka zipi na zipi?
Kuna mdau hapa JF aliwabembeleza kwa kuwambia hali ya uchumi wa nchi yetu na wakamtumia Program ya kuzifungua!
Jaribu kuwalilia wanaweza kukuachia ila kama pia wamedai hela kidogo fanya uwape maana lengo lao kiyafunga ni ili wapate pesa ukishawalipa
Ila haya yote ni kama una Value hayo mafile na hauna uhakika wa kuyapata hayo mafile tena bila kuingia gharama kubwa!