Ogopa mtu anayejiita jina akianza na vimaneno kama Dr, Intelligent, Boss, Bingwa, Cute!

My brother acha niseme kitu, Kwanza tuna Uhuru wa uchaguzi na uamuzi wa majina.

Sidhani Kama mtoa mada ana haki miliki ya majina yetu, so hawezi tupangia lipi au kipi Humu.

Hili jina ninalo jiita hali kuja kwa ku type kwenye keyboard, it was all about the hustles bro.

Imagine hujaenda shule, ila una katiza katikati yao, una jadiliana nao, una sema kwa lugha zao pendwa.

Still una wa defeat wao na ma senior zao, ndo maana nili itwa hivi.

Uki muuliza mama yangu toka Nikiwa mtoto nili taka kuwa nani, ata kwambia mfanya biashara, mgunduzi wa .mambo ya muhimu kuhusu maisha.
And that's what am living aisee

Beside jina langu lime undwa na mambo matatu, intelli, gent, businessman,

Nuzulati Hannah

I mean no malice to nobody
tapatalk_1573179907198.jpg
 
View attachment 2927997
Punguza kujielezea kaka 🤒🤒
 
Kuna jamaa tulikuwa tunaishi nae mtaani ilikuwa anajulikana kama Dr. Ilikuwa akitoka asubuhi anabeba briefcase na ananing'niza stethoscope kwenye mkono wa briefcase.

Jamaa alikuwa ni mbishi na mjuaji wa kila jambo linalohusiana na dawa pamoja na magonjwa. Kila dawa iikuwa anaijua yeye na kila ugonjwa alijifanya ana tiba yake kiasi cha baadhi ya watu kufuata ushauri wa tiba kwake.

Siku moja nikiwa natoka hospitali ya Amana niliona lorry la MSD likishusha dawa. Jamaa alikuwa ana sauti kali sana, popote pale kwa anaemjua lazima ataitambua sauti yake.
Kugeuka namuona Dr. kapiga pensi na vest jasho linamtoka anashusha mabox ya dawa.

Nilienda karibu yake nikamwambia Dr. naona unanyoosha viungo hapo. Mshkaji alitaharuki asijue cha kujibu. Akanambia tu dogo tutaongea baadae ila haya maisha tu usichukulie serious sana.

Jioni yake alinifuata na kunambia ukweli kuwa yeye ni kuli (kibarua) huwa wanapakia na kushusha madawa MSD Keko. Na iile kujifanya Dr. ni baada ya kumdanganya demu wake enzi hizo kuwa yeye ni daktari na ikabidi uongo uendelee ila demu wake ambae alikuja kumuoa alishajua ukweli kuwa jamaa kuli tu ila alikuwa anamstiri mumewe.

Toka siku hiyo jamaa akawa mshkaji wangu sana ila ilikuwa hana pozi la kubishana nikiwa karibu yake. Na siri yake sijawahi mwambia mtu pale mtaani mpaka leo hii.
ila hapa umesema !
 
Ukiona tu anasema 'unaleta ujuaji' basi tambua ya kuwa kazidiwa maarifa na ushawishi tayari.

Badala ya kujifunza kwa wanaofahamu anaishia kuwatungia jina la Wajuaji.

Hii ni ili kuji-please na uweupe wake katika jambo husika. Sikiliza hoja iliyopo ndani ya mazungumzo yenu. Na kisha pambana na mhusika.

Kuwa-discredit watu wote wa aina fulani kwa sababu ya upuuzi wa ntu mmoja ni Upumbavu.
Uko sahihi mkubwa, Kuna Jamaa mtaani kwetu ana penda kusoma vitabu sana.

Sasa katika mijadala huwa ana watwanga ki kweli kweli, Wana ishia kusema vitabu vime muharibu.

Mimi nawauliza Je lengo la kusoma vitabu si kuelimika??, kwanini hamtaki ku appreciate mwamba ana jua!!
au ndo kujipa unafuu?!
 
My brother acha niseme kitu, Kwanza tuna Uhuru wa uchaguzi na uamuzi wa majina.

Sidhani Kama mtoa mada ana haki miliki ya majina yetu, so hawezi tupangia lipi au kipi Humu.

Hili jina ninalo jiita hali kuja kwa ku type kwenye keyboard, it was all about the hustles bro.

Imagine hujaenda shule, ila una katiza katikati yao, una jadiliana nao, una sema kwa lugha zao pendwa.

Still una wa defeat wao na ma senior zao, ndo maana nili itwa hivi.

Uki muuliza mama yangu toka Nikiwa mtoto nili taka kuwa nani, ata kwambia mfanya biashara, mgunduzi wa .mambo ya muhimu kuhusu maisha.
And that's what am living aisee

Beside jina langu lime undwa na mambo matatu, intelli, gent, businessman,

I mean no malice to nobody
View attachment 2927997
Dogo unaeleza huku unatia huruma,hustles gani toto umepitia? Kunyimwa nyonyo na mama?
🤣 ,Utani maana huchelewi kulia.

Ila mleta thread asichukulie simple sana majina yenu,tunawaheshimu sana.
 
My brother acha niseme kitu, Kwanza tuna Uhuru wa uchaguzi na uamuzi wa majina.

Sidhani Kama mtoa mada ana haki miliki ya majina yetu, so hawezi tupangia lipi au kipi Humu.

Hili jina ninalo jiita hali kuja kwa ku type kwenye keyboard, it was all about the hustles bro.

Imagine hujaenda shule, ila una katiza katikati yao, una jadiliana nao, una sema kwa lugha zao pendwa.

Still una wa defeat wao na ma senior zao, ndo maana nili itwa hivi.

Uki muuliza mama yangu toka Nikiwa mtoto nili taka kuwa nani, ata kwambia mfanya biashara, mgunduzi wa .mambo ya muhimu kuhusu maisha.
And that's what am living aisee

Beside jina langu lime undwa na mambo matatu, intelli, gent, businessman,

I mean no malice to nobody
View attachment 2927997
Sina neno kuhusu wewe na sina shaka taarifa zako nilizipata na nilizipenda kutoka kwa mzee wako japo alisema wewe ni mkali mkali sana
 
Mara nyingi hawa watu ni wajuaji sana, wabishi, wapenda sifa na wasiopenda kuwa criticized.

Afadhali wangekuwa na hurka ya ujuaji alafu angalau wanajua kweli ila ni basi tu wanasifa ya kipekee ya ku-debate mambo ovyo ovyo huku wakija na uchambuzi uliokuwa based sana na conclusion yao sio ya kimatunda juu ya hio topic bali ni ya kujionesha ukuu wao ulivyo juu zaidi yako mleta topic.

Tuko tofauti sana wanadamu, tunaheshimu hilo, ila haimaanishi upumbavu wako ndio u-define na uchambue utu wetu. Upumbavu wako baki nao kama tulivyobaki nao wa kwetu then kama hauna uwezo wa kuja na criticism ilio pevuka kama kimya na ukubali pia pale utakapo kuwa criticized.

Tunasubiria comments zenu ili mjioneshe asili yenu halisi.
Umesahau wanaojiita Mheshimiwa!
 
Sina neno kuhusu wewe na sina shaka taarifa zako nilizipata na nilizipenda kutoka kwa mzee wako japo alisema wewe ni mkali mkali sana
Nashukuru mkubwa🙏🙏, shida mtu aki kuona ana hisi mziki wowote una chezeka.
Bila ya kufahamu wengine spika tulisha zikata kitambo.

Kuhusu ukali ni kiasi chake, mtu anae shindwa kufata ya muhimu.
Lazima nimuelimishe kwa njia ambayo naona ita msaidia.

Half american, Zulu man do you see this chai🤓, au mko bize na pajama??!
 
Watu hawapendi kukubali kwamba kuna kuzidiana .
Huu ni ugonjwa umezuka Siku hizi na Tanzania wako nao wengi sana kitalaamu unaitwa The Dunning-Kruger effect

Mwalimu anabishana na Mwanasheria au Wakili kuhusu sheria fulani na mwalimu yuko comfortable kabisa Na wala hajistukii..

Mtaala au Elimu ya ukubali kwamba Mimi let say Ni mtalaamu wa maswala ya Ununuzi (Procu&supl) na sina ujuzi wa maswala ya Uhandisi kwa Tanzania umetupita Kushoto kabisa..

"Kwa sisi watanzania Tuna elimu ya kila kitu na hata uwe mtaalamu wa maswala gani sisi tunautalaamu zaidi yako"

Niliwahi kusilmulia kisa fulani humu..

"Mtu anakuja Hospitali, Ana dalili zake kashaziandaa, Ana Ugonjwa wake anao kichwani, Ana vipimo vyake anavyotaka kupimwa anadawa zake anazotaka kupewa baada ya Kipimo..Sasa unajiuliza Hospitali kaenda kufanyaje kama anajua kila kitu"

The Dunning-Kruger effect unaathiri wengi sana ikifuatiwa na Alethophobia
 
Uko sahihi mkubwa, sisi wabongo ni zaidi ya chat gpt au ai yenyewe 😆.
 
Back
Top Bottom