og istagram

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
684
Reaction score
201
Wadau naombeni link ya og insta kwa wenye kuifahamu ambayo iko kwenye sasisho jipya (update) maana kila ninayopakua haifungui video, msaada.

Sent from my TECNO K7 using Gazeti Lite
 
sisi tunaotumia aboda na sundar zipo kundi gani?
 
Anachokisaka jamaa hakipo playstore...jamaa anataka modded instagram apk ambayo inaitwa og instagram sema hapo juu lugha zikawa gongana watu wakijua og instagram ni instagram ya kawaida

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Aah kumbe kuna official na og sikujuaga ilo

Mtoa mada ajaribu kwend kwa akin apkpure au uptodown anaweza pata ukoo
Au mediafire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…