CORINTHIANS
Member
- Jul 29, 2015
- 42
- 13
safari hii tusihangaike kupiga kura,,, dawa ni hawa wagombea wawili waingie tu kwenye kamba wachapane makonde ataeshinda ndo prezidaa,,, sipati picha kile kidingi kichunga ng'ombe kitavomchakaza jamaa mlinzi yelo yule,, mtakua tu mnamskia mzee wenu anatoa ukelele wa chini chini wa kushindwa ile "njooni mtuamue mi hakianani nawambia ntamuumiza mag.ufuli,, ntamtoa damu mimi"!!! kwanza kijamaa kile hakitompiga yule mzee,, kitamnywa supu kabisa kudadeki zake
Leo sisi tulikua tunajadili, namna gani juzi arsenal walipigwa mbili bila na chelsea wakatoa droo
Simiyu Yetu tehHata huku Simiyu ni Lowasa tu
Hicho kichwa kazi yake ni kufikiri.
MakondaMakonda na madereva Leo ni Lowassa tu
Wauza biashara ndogo ndogo Leo ni Lowassa tu
Wamachinga Leo ni Lowassa tu
Mpaka beki Tatu Wa nyumbani kwangu Leo kanipa habari za Lowassa
"Nitaichinja ccm bila huruma"
Leo sisi tulikua tunajadili, namna gani juzi arsenal walipigwa mbili bila na chelsea wakatoa droo
Lowasa hana mpinzani
Katika hali ya ushindani ni kanuni kwamba kutakuwa maoni both sides, sasa kama ni pambano la simba na yanga ntashangaa sana ukinambia inaongelewa simba tu, ina maana simba anacheza pekee yake sasa
Sjawahi shuhudia wananchi wa kada zote wakiwa na majadialiano ya kina kuhusu mtu yoyote kama wanavyofanya sasa kwa lowassa, na ukweli ni kua wanaomuunga mkono ndo wanaoshinda kwa hoja, hakika hii haijaja kama ajali au lowassa mwenyewe kujisifu kwa kuongea sana, bali kazi zake silizo njema alizozifanya ndizo zinazomshudia