UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,400
- 1,018
Leo sisi tulikua tunajadili, namna gani juzi arsenal walipigwa mbili bila na chelsea wakatoa droo
Leo sisi tulikua tunajadili, namna gani juzi arsenal walipigwa mbili bila na chelsea wakatoa droo
Bodaboda, daladala, mabasi ya Mikoani, Machinga, Mama ntilie, Waalimu, Tourists, Mabalozi, Wafanya kazi wote, Masheikh, Maaskofu, Wana vyuo, Lecturers, Wanafunzi, Wafugaji, Wakulima, Mitaani, Vijijini, Mijini, Wavuvi, Maharusini, Send off, Mahotelini, Police, Jeshini, Wapita njia, Wagonjwa, Madaktari, Watoto wadogooo...< 5 years, Wazee, Vijana, Albinos, Wafungwa, Magereza...
Ni Lowassaaaaaaaaaa....Ukawaaaaaaaaa....
Wataisoma Namba...!!!
It is TIME for CHANGE...!!!