mzee wa giningi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 519
- 336
Ofisi ya Waziri mkuu imewadanganya watanzania 1000 kuhusu kuwapa kozi ya bure Chuo cha DIT Mwanza na serikali imeingia mtini kwa kukoswa fedha za kulipa walimu.
Soma hili tangazo lao halafu uone kama wamekelezani muhimu ukafafanua imekuwaje mkuu , tupate kufahamu undani wake
kwani ulipeleka vyeti na barua ya maombiSoma hili tangazo lao halafu uone kama wamekeleza