Simbamteme
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 797
- 2,110
Nashindwa kuamini hii nchi jamani.. nimetoka kuangalia habari clouds, wameripoti ofisi za serikali ya mtaa(umenitoka huo mtaa) katika halmashauri ya wilaya ya kinondoni zipo chooni... kisa ni serikali hiyo ya mtaa kushindwa kulipa kodi ya 70000 kwa mwezi hvy wakafukuzwa... so suluhisho ni kuhamishia ofisi chooni.. Cha ajabu hadi bendera ya Tanzania imewekwa hapo chooni... aibu gani hii jamani.. nawasilisha