Ofisi za namna hii zibadilike

Nimegundua kinachotusumbua watanzania ni kuwa sadists sana

Maana tuna tabu kavu na kali.

Majungu ndio yamekuwa mtaji.

Kwa hio tutalalamikia chochote kile kilicho na hadh fulani
 
Wanajua kila wanaoingia ofisini kwao wanatumia vistuli walikotoka
 
Kwa kinyozi wangu amevipanga vingi tu sasa abadirike nini hapo mkuu asipange vichwa?
 
hahahaaa,unakuta kitu kimegongwa AC kimeziii kinoma yaani ulipokalia hakitaki uguse pengine,halafu watu wake ndio kwanza wanaitana kwenye kikao muendelee kusubiri,ukitoa simu uingie hata JF upoteze muda unambiwa haturuhusu simu😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…