PostGE2025 Ofisi za Manara tv kuzinduliwa December 12, 2025

PostGE2025 Ofisi za Manara tv kuzinduliwa December 12, 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Mkurugenzi wa manara tv na diwani mteule wa kata ya Kariakoo Hajj Manara leo November 19, 2025 ametangaza rasmi tarahe ya uzinduzi wa ofisi za Manara tv huku ikiwa ni mabadiliko ambapo awali uzinduzi huo ulitakiwa ufanyike November, 2025. Mabadiliko hayo yamechochewa na shughuli za uchaguzi mkuu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo yeye alikuwa ni miongoni mwa wagombea nafasi ya udiwani katika kata ya Kariakoo.


 
Huyu anatafuta sababu tu anajua kabisa siku hiyo maandamano yatakuwa bado yanaendeleo.
 
Back
Top Bottom