Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,220
- 3,430
Panakuwa padogoMagari wanayoendesha ndo ofisi zao
🤔🤔🤔🤔Ofisini kwa bosi huwa kuna kiti cha dereva,fuatilia
Sawa dereva umesikikaHakuna ofisi maalum ya madereva wa serikali (wakiwemo wa halmashauri na wizara mbalimbali) kutumia wakati wanasubiri mabosi wao watoke ofisini au kwenye mikutano ya kujenga taifa?
Naona kama wanachoka sana, wengine utawakuta wanawasubiri mabosi wakiwa wamejibanza kwenye vibanda vya karibu vya mama ntilie na hata wale ambao hawajapangiwa magari baadhi yao wapo vijiweni, wengine wanajibanza kwenye maduka ya mangi wanapiga Kvant za kutosha. Baadae tunapishana nao barabarani wanaendesha magari ya serikali kama madereva bodaboda.
Sheria za kazi za watumishi wa umma zinawahusu? Hasa hao wa halmashauri ambao hawajapangiwa magari wawe katika ofisi gani muda wa kazi? Ni aibu.
Serikali ina mpango gani wa kuwa na ofisi za hawa madereva kukaa wakati wa muda wa kazi?
Kwenye magari
Hapana, vibanda proper kabisa...Kwenye magari
Huwa ana mada chokonozi huyu mpaka unajiuliza sijui kawaza nini, big up kwake aiseeDuh hili umeliona mbali
Na kusubiri kutongoza mama lisheWanakaa chini ya mti wanacheza draft😃
Eee embu nieleze ni sehemu gani ofisini kwa bosi kuna kiti cha dereva?Ofisini kwa bosi huwa kuna kiti cha dereva,fuatilia
Mhmmm wapi huko? Vibanda vya walinizi?Hapana, vibanda proper kabisa...
Ahsante sana!Huwa ana mada chokonozi huyu mpaka unajiuliza sijui kawaza nini, big up kwake aisee
Ila jinsia yake haijulikaniHuwa ana mada chokonozi huyu mpaka unajiuliza sijui kawaza nini, big up kwake aisee
Una kazi nayo gani hiyo jinsia?Ila jinsia yake haijulikani