Ofisi za LAPF posta ziko sehemu gani?

Ofisi za LAPF posta ziko sehemu gani?

Mkuu kwa maeneo ya Posta nenda mtaa wa Mkwepu. Ulizia ilipo Diplomatic House. kama hawajahama walikuwa jengo hilo orofa ya tatu. Ukiwakosa hapo basi nenda pale Kijitonyama kwenye jengo lao linaloitwa LAPF Millenium Towers (nadhani floor ya sita au saba) pengine unaweza kupata msaada unaohitaji.
 
Posta mtaa wa mkwepu na kaluta karibu na filling station ya puma.
Jamaa wanazingua kulipa since july wanamzungusha mdada fulani. Sina hamu nao.
 
Back
Top Bottom