Ofisi za KK security

tsaqwa

Member
Joined
May 11, 2015
Posts
50
Reaction score
5
Jamani, kwa mwenyeji wa Arusha anayefahamu mahali zilipo ofisi za KK Security, naomba anielekeze. Mi nipo Mbauda :becky::mimba:
 
Ulizia Impala Hotel then ukifika ofisi za KK, zipo jirani hapo.
 
Kama unatafuta ulinzi tafuta kampuni ingine kk achana nao. hao ni wanyonyaji wa nguvu za walinzi. hapa navokwambia wameshindwa kesi. kama huamini fanya utafiti.
 
Kama unatafuta ulinzi tafuta kampuni ingine kk achana nao. hao ni wanyonyaji wa nguvu za walinzi. hapa navokwambia wameshindwa kesi. kama huamini fanya utafiti.

hv kwanini kampun za ulinzi cku iz wamekua hvo! mi leo tar 20 nadai mshahara wa mwez april kwel?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…