Ofisi za HESLB ziko wapi?

Salaam,
Naomba kujuzwa ofisi za loan board zipo maeneo gani.
Asante

we una shda gan kule? isiwe ume2mwa na waliokosa mkopo ukajitoe mhanga, mana nyie vijana sa iv mna mapresha ya ajab. ms2mwagie unga
 
wakuu naomba mnisaidie kunielekeza jins ya kufika bodi ya mikopo ya wanafunz wa elimu ya juu kutokea ubungo
 
Nyooka moja kwa moja usikate kona kulia wala kushoto, haya nipe buku jero yangu.
 
wakuu naomba mnisaidie kunielekeza jins ya kufika bodi ya mikopo ya wanafunz wa elimu ya juu kutokea ubungo

Shuka kituo kinaitwa mpakani then utavuka barabara upande wa pili jengo utaliona tu au ukiulizia mtu yoyote atakuonyesha
 
wakuu naomba mnisaidie kunielekeza jins ya kufika bodi ya mikopo ya wanafunz wa elimu ya juu kutokea ubungo

Msasani kwenye jengo LA Tirdo kama haijaama hapo maana ni kama miaka 8 toka niudumiwe na hiyo ofisi panda magari yanayoenda kawe au msasani
 
Ukipanda yanayokwenda kawe utashukia maisha alafu unachana mbuga kwa miguu mkono wako WA kulia hadi ukutane na barabara ya kwenda msasani utapita mgahawa WA wachina hadi sehem jengo LA Tirdo au pitia shekilango hadi ubalozi WA marekani uliza
 
Kama ujui kitu funga domo lako humu hatuna utani.
 
Msasani kwenye jengo LA Tirdo kama haijaama hapo maana ni kama miaka 8 toka niudumiwe na hiyo ofisi panda magari yanayoenda kawe au msasani

Mhhhh!!!!!!!!!! mkuu siku nyingi kweli wametoka maeneo hayo,
 
Ukipanda yanayokwenda kawe utashukia maisha alafu unachana mbuga kwa miguu mkono wako WA kulia hadi ukutane na barabara ya kwenda msasani utapita mgahawa WA wachina hadi sehem jengo LA Tirdo au pitia shekilango hadi ubalozi WA marekani uliza

Mhhhh!!!!!!!!!! hamna kitu bora ungekaa kimya tu mkuu,maana hatari hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…