ndugu yangu hao DHL Tanzania wanaiba mizigo halafu wanasingizia kuwa wamekutafuta na hupatikani,kwa hiyo wanakwambia huo mzigo umepelekwa sijui CUSTOMS, wakati mzigo wako una anwani zote,ikiwepo barua pepe na namba za simu.yashanitokea.bora utumie EMS.tangia nitumie EMS hakuna hata parcel yangu moja iliyopotea.wanaiba hasa parcel zinazotoka england.be careful.