Ofisi za CHAUMA (Hashim Rungwe) zinapatikana maeneo gani?

Ngixolele Umoya

Senior Member
Mar 26, 2017
108
142
Habari wakuu, naomba kwa anayefahamu zilipo ofisi za chama cha CHAUMA cha hashim Rungwe kwa Dar, anijuze zilipo, nataka kujiunga na ikiwezekana anifafanulie na taratibu za kujiunga. Ahsanteni
 
Nyie

Nyie ni CUF hipi?, maana nasikia kuna CUF moja inaongea na Rungwe waunganishe chama,
 
Huyu mzee na vijana wake ni watu hatari sana.. Kwanza wana njaa kali sana.. Ukichukua mkopo pale kwao ukaweka dhamana ya gari wanaweza wakaiuza hata kwa deni la sh laki moja.. Sio watu wazuri kabisa hawa.. Usithubutu kula pesa yao.. Itakutokea puani.
 
Chauma kinakopesha mkuu!?
 
Nyie

Nyie ni CUF hipi?, maana nasikia kuna CUF moja inaongea na Rungwe waunganishe chama,
Hahahaa CUF ninayoijua mimi iko moja tu.....na sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa, ndo nataka kuanza siasa!!!!
 
Huyu mzee na vijana wake ni watu hatari sana.. Kwanza wana njaa kali sana.. Ukichukua mkopo pale kwao ukaweka dhamana ya gari wanaweza wakaiuza hata kwa deni la sh laki moja.. Sio watu wazuri kabisa hawa.. Usithubutu kula pesa yao.. Itakutokea puani.
Kwani ile ni SAKOSI au chama cha siasa? Ahsante kwa update.....naweza kuishia njiani
 
Habari wakuu, naomba kwa anayefahamu zilipo ofisi za chama cha CHAUMA cha hashim Rungwe kwa Dar, anijuze zilipo, nataka kujiunga na ikiwezekana anifafanulie na taratibu za kujiunga. Ahsanteni
Makumbusho shule ya msingi.
 
Leo najibu kistaarabu telemka Stendi ya makumbusho then uliza kwa Rungwe ana yard ya kuuza magari na mwanasheria na ni mgombea urais kwa chama cha CHAUMA pale kijitonyama hupotei
 
Back
Top Bottom