Ofisi ya Waziri Mkuu na Mamlaka ya Hali ya Hewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ofisi ya Waziri Mkuu na Mamlaka ya Hali ya Hewa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shaycas, Dec 16, 2009.

 1. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #1
  Dec 16, 2009
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Ofisi ya Waziri Mkuu Kitengo cha Maafa wakishirikiana na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania wemekuwa wakitoa tahadhari ya mvua za elnino na kueleza baadhi ya mambo ya kufanya kabla na wakati wa mvua hizo.Tahadhari hizo zimekuwa zikitolewa kupitia vyombo vya habari. Ni vyema wananchi wakachukua tahadhari kabla ya hatari.Je ofisi hizo nazo zinachukua tahadhari gani?
  Au ndo kazi yao inaishia kwenye kutangaza tu? JE Taasisi nyingine kama afya wamejipanga vipi na mlipuko wa magönjwa ambao unaweza kutokea?
  Je wewe mtanzania mwenzangu unayeishi mabondeni utafanyaje kwani kuishi huko bondeni sio kwamba unapenda,bali ndio hivyo tena.....
   
 2. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hkuna taadhari yoyote walioichukua zaidi ya kupiga bla bla blaa!
  Maafa yakishatokea ndo utawaona wanakimbia kimbia ovyo.
   
Loading...