Ofisi inauzwa

Ofisi inauzwa

ALLY RIYAMI

Senior Member
Joined
May 26, 2012
Posts
115
Reaction score
15
Nauza ofisi ambayo ni sehemu ya fundi cm ipo maeneo mazuri kwa biashara nimeshindwa kutokana na kukosa fund cm mzuri na mwaminofu,call me0652740304 pia kuna cm kama htc8s,huwawei na sumsung glx s2
 
Iweje ofisi ya fundi uiuze na simu zake hv sio za wateja hizo!. Ofisi ipo wapi? Unaiuzaje? Ofisi ina ukubwa gan? Ina vifaa gani vingine? Nikitaka ofisi tupu na vifaa vingine bila hizo simu htc zako inawezekana? Pana tatizo gani au fundi kakimbia na simu za watu deni lisihamie kwangu? Ukihic una majibu sahihi nitafute 0715719171
 
Back
Top Bottom