Ofisi inapangiswa sinza mugabe

Ofisi inapangiswa sinza mugabe

Mrekebishaji

Senior Member
Joined
Mar 19, 2009
Posts
168
Reaction score
63
Nina ofisi Sinza Mugabe, natafuta mtu wa kupamga naye pamoja, ipo karibu na stendi mpya ya mawasiliano, karibu pia na City style hotel.

Mwenye kutana tuweze kutumia pamoja na kuweza kulipia pamoja anijulishe, anaweza ku pm namba yake tukaongea vizuri..


Ofisi ina vyumba viwili vikubwa , ni jengo kubwa kuna ulinzi, na kuna ofisi nyingine hapo, kuna fence....Ni mahali salama kabisa.

Mimi siitumii mara kwa mara, tunaweza kuongea namna ya kuitumia pamoja.
 
Back
Top Bottom