Ofisi inapangishwa ipo mikocheni .

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Ina sifa zifuatazo ( ipo mikocheni maeneo ya shoppers plaza )
Vyumba 4 , ambavyo vinamatumizi tofauti mfano
2 ni kwa ajiri ya ofisi
1 flem
1 store na choo
vyumba vyote vina A/C , viti vya kisasa vya kukaria pamoja na meza na shelf.
maji yapo pia kuna tank la lita 1000
compound inatosha kuegesha magari 15 - 20 kwa wakati mmoja
bei 1.5m kwa mwezi .
mawasiliano: 0657 145555 & 0755 099 291



 
Flem ndio biashaga gani?
msamehe bure,huyu ni kati ya wale watu wenye matatizo ya R na L....yeye mwenyewe anaitwa Akiri,
Ina sifa zifuatazo ( ipo mikocheni maeneo ya shoppers plaza )
Vyumba 4 , ambavyo vinamatumizi tofauti mfano
2 ni kwa ajiri ya ofisi
1 flem
1 store na choo
vyumba vyote vina A/C , viti vya kisasa vya kukaria pamoja na meza na shelf.*** ila hapa hajasema sherf
maji yapo pia kuna tank la lita 1000 ** na hapa hajasema rita
compound inatosha kuegesha magari 15 - 20 kwa wakati mmoja **na hapo hajasema magali
bei 1.5m kwa mwezi .
 
Last edited by a moderator:
nisamehewe kwa kosa lipi?
 
kaofisi bado kapo wazee karibuni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…