Ofisi inahitajika maeneo ya Mjini

Ofisi inahitajika maeneo ya Mjini

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
10,734
Reaction score
9,913
Habari wakuu,
Kuna jamaa amenitumia nimtafute Ofisi maeneo ya Mjini.
Maeneo ya Harbour view au mengine ya City Center
Ukubwa 50sqm.

Haya fungukeni bei zenu na maeneo yake,kama stree names,nimtumie.
Kisha changu cha udalali ndani ya dalali tutajuana
 
Simu hiyo ya mikocheni labda iwe optional,maana mwenye anahitaji maeneo City Center kama ilivyo.
Hembu nipe bei na specification kwa hiyo ya mikocheni.Ili nimsukumizie hivyohivyo
 
Habari wakuu,
Kuna jamaa amenitumia nimtafute Ofisi maeneo ya Mjini.
Maeneo ya Harbour view au mengine ya City Center
Ukubwa 50sqm.

Haya fungukeni bei zenu na maeneo yake,kama stree names,nimtumie.
Kisha changu cha udalali ndani ya dalali tutajuana
Hahahaha nmependa style yko mkuu umekuwa muwazi kuwa na wewe hapo unafanya udalali
Maana wengine humu jf wakitaka kitu wao wanajifanya wao ndy watakaji wakati wao ni middleman
 
Hahaha,siunajua tena Mrangi,
Mie napenda kuwa muwazi,maana mtu akija ajua kabisaa kwamba tunapiga pasu.
Huwa sipendi sana hadaa,maana mwisho wake sio mwema,hizi pesa tunatafuta mwisho wake tunaziacha.
Sasa ni bora kama kupata wote tujue tunapata jasho letu halali kwa kazi tumeyomfanyia mhusika.
 
Sawa sawa chief
 
Back
Top Bottom