Nilipita katika moja ya miji yetu Tanzania hivi karibuni,nilikutana na ofisi hii,ni wapi hapa???,Najua kwa wengine itakua rahisi sana,kwa walio mbali na nyumbani na walikua wakisikia tu sio mbaya kujionea hali halisi sasa.
Ok BOT wamejitahidi kujenga, hili limetumia pesa ngapi? halina ufisadi kama lile la twin towers zinalowahangaisha akina Liyumba? Kama hakuna ufisadi, nawapa hongera BOT tawi la Zanzibar.