jembelamkono JF-Expert Member Joined Nov 19, 2015 Posts 2,733 Reaction score 2,020 Feb 20, 2016 Thread starter #41 Ndinani said: Unazo za DHAIFU alizopiga na 50cents? Click to expand... Mkuu Dhaifu ni nani?
Mbwa dume JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 6,289 Reaction score 10,989 Feb 20, 2016 #42 Mi nataka za Mh Lowassa
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Feb 20, 2016 #43 Felix Aweda said: Tuone Kama ni yenyewe. 75'000? Fanya 50'000 Click to expand... nikusaidie mkuu nenda habari maelezo utapata picha official ya rais jpm hapa utaambulia matupu takecare
Felix Aweda said: Tuone Kama ni yenyewe. 75'000? Fanya 50'000 Click to expand... nikusaidie mkuu nenda habari maelezo utapata picha official ya rais jpm hapa utaambulia matupu takecare
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,438 Reaction score 46,187 Feb 20, 2016 #44 jembelamkono said: Mkuu Dhaifu ni nani? Click to expand... Msanii maarufu kutoka Msoga.
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,061 Feb 29, 2016 #45 Wekeni hiyo picha hapa wakuu...... Nina kazi ya interior design ya ofisi ya serikali....