Oficial Picha ya Mh. JPM

hizi picha naona serikali ingezigharamikia zitolewe bure, maana hainingii akilini kununua picha ya rais
 
Of what use anyway? Ambao wanamuona ni Mungu wao wanunue, maana hakika kuna wanaomuona JPM ni Mungu mtu!
 
Frame zako zikoje? Manake frame ndio zinapandisha bei... Tupia picha ya framed pic
 
Yah,inafrem kabisa ya kisasa mkuu,,nashindwa ku upload picha hapa,lakini ukini pm ntaweza kukutumia kwa whatsap.
Usije kuwa unauza hizi hapa. Hizi ni kwa ajili ya kunbukunbu sio official
 
Attachments

  • 1455903024877.jpg
    85.2 KB · Views: 25
Jifunze kuheshimu mamamlaka za nchi.
Kwani shida ipo wapi... zinatakiwa zikae picha mbili... moja ya Baba wa Taifa, moja ya Rais aliyepo madarakani... nikishusha moja si naitoa kwenye fremu naiifadhi vizuri fremu ile ile natumia kwa nyingine... kubana matumizi...
 
Non sense.
 
Hebu weka hiyo picha hapa tuone kama inaendana na bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…