jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,020
Ina frame kbs?Habari za week end wakuu,
Ninauza quality oficial picture ya Mh Raisi JPM,
Picha hizi ni mahsusi kwa maofisini na hata majumbani pia.
Ukubwa wa picha ni 50×60cm,
Bei ya picha moja ni Tsh 75,000/=
Ninapatikana Dar es salaam,Tanzania.
Masiliano 0713724242
Hiyo nyongeza ni gharama za matangazoOfficial portrait ya MAGU inauzwa buku 15 pale MAELEZO Kama sijakosea . Hiyo albaki buku 60 itakuwa mbwembwe tu!
Yah,inafrem kabisa ya kisasa mkuu,,nashindwa ku upload picha hapa,lakini ukini pm ntaweza kukutumia kwa whatsap.Ina frame kbs?
Nashindwa ku upload picha hapa,lkn naweza kukutumia kwa whatsap.Iko wapi hiyo picha?
Hakuna aliyekuzuia kwenda hapo kununua mkuu,unaeza ukanunua hata pcs 10,000 na zingine ukagawe kijijini kwenu,Official portrait ya MAGU inauzwa buku 15 pale MAELEZO Kama sijakosea . Hiyo albaki buku 60 itakuwa mbwembwe tu!
Unaweza ni pm namba yako mkuu nikakutumia kwa whatsap,hapa nashindwa kui upload.Tuone Kama ni yenyewe. 75'000? Fanya 50'000
Hiyo yako sio officialUnaweza ni pm namba yako mkuu nikakutumia kwa whatsap,hapa nashindwa kui upload.
Sawa mkuu,nimekuelewa.Hiyo yako sio official