ashomile
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,936
- 3,054
Wale wapenzi wa gb whatssap tukutane hapa ,kiukweli gb whatssap ina madiko diko mengi haswa mazuri, lakini wengi tunatumia gb whatssap bandia, muda mwingi ukienda kwenye application ina crush mara iombe uirestart ndo usonge upya, sometime uread sms lkn bado icon itaonesha kuna sms za whatssap kumbe hakuna,
Nilichogundua bandia zipo sokoni nawashauri tuwe makini ndo maana muda mwingine moto upo faster kuisha kulingana na vitu tunavyotumia ni bandia kwa simu zetu , nimeona nikuwekee hapa link uweze kupata nawe kitu kizuri
kabla ya yote nimekifanyia uhakiki ,kiukweli iko vzr sana ..WAHI KWA KUBONYEZA HAPA [emoji117] MEGA