de carter jr
Senior Member
- Aug 27, 2014
- 142
- 119
Shukran mkuuNenda fiverr ama freelancer
Pamoja mkuu πUkitaka wataalamu zaidi nenda Toptal.com
Goodluck na bei zao
Kama ni mobile walet payments(za mitandao ya simu kama voda na tigo) ambazo kimsingi ni ussd push unaweza nicheki kwa 0678453797Habari wakuu
Kwa programmer yoyote anayeweza ku develop offline payment app kama Nala au mtu yoyote anaemjua developer anaeweza kazi hio Naomba anicheki Pm awe wa android ama iOS [emoji120]
Mi nataka unitengenezee app ya ku bypass madalali iwe ina uwezo wa kuunganisha wenye nyumba na wateja direct! Utaweza?Kama ni mobile walet payments(za mitandao ya simu kama voda na tigo) ambazo kimsingi ni ussd push unaweza nicheki kwa 0678453797
acha unaa, sisi madalali tukale wapi ?Mi nataka unitengenezee app ya ku bypass madalali iwe ina uwezo wa kuunganisha wenye nyumba na wateja direct! Utaweza?
Mtakula mlipopeleka mboga π namtafuta nguli wa kudevelop systems hizi nina kijana wangu yuko Seoul Korea masomoni! Akimaliza tu project ya kwanza itakuwa kuwalaza njaa madalali! πππacha unaa, sisi madalali tukale wapi ?
Nadhani tunge wasiliana kwa hyo namba kama ni hivyo napatikana Dar Es salaam.Mi nataka unitengenezee app ya ku bypass madalali iwe ina uwezo wa kuunganisha wenye nyumba na wateja direct! Utaweza?
poa poa chief nitakupigiaNadhani tunge wasiliana kwa hyo namba kama ni hivyo napatikana Dar Es salaam.