Nimeowa huu mwaka wa kumi huwezi nifundisha kitu kuhusu mwanamke,unaachana na mke unakimbilia bar kulewa?you must be kidding!
Mtu timamu angetaka kujua una lengo gani na watoto uliozaa na huyo mwanamke au hamkumzaa?au mlizaa umeona umwachie akahangaike nao ili wakiwa wakubwa useme nina watoto wakunitunza nikiwa mzee!!!