Official "DECLARATION" results from ErickB52 family to Amyner.

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Rejea taarifa yetu ya nyuma kidogo, tukikufahamisha utupatie muda tukae kikao as a family.
Kikao kimemalizika hivi punde, baada ya kua tumepitia mtiririko mzima wa maelezo yako na ya kijana wetu.
Ni watu wazima 12 tulioshiriki kikao hiki.
Aidha kikao kimeridhika kua Mumeo alikua yuko kiChitChat zaidi na sio kiuhalisia.
Kikao kimemuonya mchezo, mzaha, mas'hara sampuli hii ayapunguze.
Kikao kinakutafadhalisha kwamba baadhi ya wakati masuala ya Kichtcht usiyape uzito sana! Yachukulie kichtcht!
Kikao pia kinakuomba endapo patatokea Erick amekuendea visivyo baada ya sasa nasi tutashirikiana nawe kumuadabisha.
Aidha kikao pia kimemuamuru Erick afatilize kutoa Thrade specific ya kukuomba radhi kwa sintofahamu iliyojiri.
Na mwisho kikao kinaamini kwamba yaliotokea ni UPEPO TU UMESHAPITA.
 
Nimekuja kuthibitisha kama umefikisha vema ujumbe,
Hongera @Jugement Umewasilisha kwa ufasaha kabisa, naamini wahusika watayatekeleza, Erickb52 na Amyner, mmekua mfano mwema hapa jukwaani, hivo muendelee
 
Last edited by a moderator:
Wapendanao wakigombana chukua jembe kalime ila wakipatana chukua kapu kavune. Kila la kheri.
 
Amyner,tunaomba reaction yako tafadhali!

Amy hebu funguka my dear Semegi !
Wenye kiu na kauli yako wako lukuki mmojawapo ni huyu mtu maarufu!
Katta kkiu ya jibu!
 
Nimekuja kuthibitisha kama umefikisha vema ujumbe,
Hongera @Jugement Umewasilisha kwa ufasaha kabisa, naamini wahusika watayatekeleza, Erickb52 na Amyner, mmekua mfano mwema hapa jukwaani, hivo muendelee

Kula kinywaji ile wewe penda!
Mimi penda mineno hawa!
 
Last edited by a moderator:
endothermic au exothrmic reaction?

Na amina ni reversible au irreversible rection?

Kha! We Kongosho hizi scientific terms unatunga eh?
Mwambie The Boss thanks for such comforting words and gift. I appreciate especially katika kipindi hiki kigumu.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga.. Nitakupigia simu tuongee.. For the time being i cant comment on what has been presented by Erick's family..
Helo Amyner
Kumbuka ahadi yako juu ha penzi letu...
Tuliahidiana kupendana na kuaminiana,mbona huniamini tena?
Honestly sijakucheat bby...ilikuwa ni chit chat tu
 
Last edited by a moderator:
Nimekuja kuthibitisha kama umefikisha vema ujumbe,
Hongera @Jugement Umewasilisha kwa ufasaha kabisa, naamini wahusika watayatekeleza, Erickb52 na Amyner, mmekua mfano mwema hapa jukwaani, hivo muendelee

Mwanyasi asante kwa dua lako...
Dunia ina milima na mabonde, kuna kupanda na kushuka...hizi ni changamoto zinazoimarisha penzi letu coz sidhani km hata ntatania tena lol nimekoma
Naomba mpenzi wangu aelewe hilo.
Love you Amyner
 
Last edited by a moderator:
Wapendanao wakigombana chukua jembe kalime ila wakipatana chukua kapu kavune. Kila la kheri.

Ukituacha then tukadhuliana itakuwaje?
tedo karibu tupate muafaka kwanza
 
Last edited by a moderator:
Rejea taarifa yetu ya nyuma kidogo, tukikufahamisha utupatie muda tukae kikao as a family.
Kikao kimemalizika hivi punde, baada ya kua tumepitia mtiririko mzima wa maelezo yako na ya kijana wetu.
Ni watu wazima 12 tulioshiriki kikao hiki.
Aidha kikao kimeridhika kua Mumeo alikua yuko kiChitChat zaidi na sio kiuhalisia.
Kikao kimemuonya mchezo, mzaha, mas'hara sampuli hii ayapunguze.
Kikao kinakutafadhalisha kwamba baadhi ya wakati masuala ya Kichtcht usiyape uzito sana! Yachukulie kichtcht!
Kikao pia kinakuomba endapo patatokea Erick amekuendea visivyo baada ya sasa nasi tutashirikiana nawe kumuadabisha.
Aidha kikao pia kimemuamuru Erick afatilize kutoa Thrade specific ya kukuomba radhi kwa sintofahamu iliyojiri.
Na mwisho kikao kinaamini kwamba yaliotokea ni UPEPO TU UMESHAPITA.
Signed
Erickb52

Amyner ujumbe ni wako!
 
Last edited by a moderator:
Inaniuma sana kuona hivi, ngoja nukatulize mawazo nitarudi kuchafua hali ya hewa.
 
Helo Amyner
Kumbuka ahadi yako juu ha penzi letu...
Tuliahidiana kupendana na kuaminiana,mbona huniamini tena?
Honestly sijakucheat bby...ilikuwa ni chit chat tu
Utasema kila kitu mpaka koo likukauke.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom