Changamoto2015
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 773
- 316
Kama una office yenye nafasi ya kutosha ground floor au ghorofa ya kwanza na upo tayari kushea maeneo ya posta mpya dar es salaam naomba ni pm
Nitumie pmungeweka namba yako bosi
Unapangishajekaka nina office kubwa na nzuri pale morroco kituo cha basi itakufaa 0657145555