Office ya DDP ni mbaya huko??

kituma12

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
301
Reaction score
122
Habari wana JF
Nimejiuliza maswali mengi sana, hivi hii office ya DDP ina matatizo gani mbona wao kila kesi zenye mlengo wa kisiasa wanashindwa??
Kesi zote za uchochezi au ugaidi sijawahi sikia wanashinda!
Je ni kwamba hawana wanasheria wazuri??
Na kama huwa hawana ushahidi wa kutosha kwanini wanafungua kesi??


Do you have confidence ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…