Hello
Office ya kupangisha kwa ajili ya shughuli za kampuni inahitajika. Ofisi inatakiwa kuwa na vigezo vifuatavyo
-ukubwa usiopungua 10m^2
-iwe maeneo Dar es salaam, ila kwa ufasaha zaidi Sinza, Kinondoni, Msasani, Mikocheni, Survey, Ubungo
-bei yake iwe halisi na eneo lenyewe
-iwe nzuri (presentable)
-isiwe kwenye eneo la kujificha
Kama unajua sehem ya vigezo hivyo, unamiliki na unataka kupangisha au unamjua mtu mwenye lengo tajwa naomba uni pm tutawasiliana kwa haraka.
Nashkuru