pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,344
Sio wote waliteuliwa wakiwa retired. K.m. Col. Oguna, Capt. Kibe, majasusi kina Haji na Twalib, Mutyambai pia wote waliteuliwa wakiwa kazini. Hata hao retired waliteuliwa punde tu muda wao wa kupumzika ulipowadia. Ila nadhani huwa wanalazimika kuretire ili waendelee na majukumu yao kama 'civilians'.Lakini Tofauti ni kwamba hawa wote ni retired.... Huhu ambaye amewekwa sahii yuko active military service.... Sasa sijui kama atalazimika ku retire ama bado atakua anapokea mshahara wa jeshi bado?