Office Machine Mechanics

Office Machine Mechanics

Ezeb

Member
Joined
Sep 14, 2018
Posts
24
Reaction score
21
Kuna hii kozi inatolewa na Veta dsm inahusika na ufundi wa office machines kama printers na photocopy machine.

Nimewiwa kuisoma hii kozi naomba kufahamu soko na faida ya hii kozi.
 
Mashine/vifaa vyote steshenary unaenda kufundishwa

Back
Top Bottom