Alisha andika amerudiaUnatumia technologies gani kutengeneza hio website
Kwa 50k? Mbona unadhalilisha tasniaModern web development technology (Vue.js, progressive web Apps, serverless na webAssembly)
Akilala njaa ,akikuomba elfu 5 ili asidhalilishe tasnia utanisaidiaKwa 50k? Mbona unadhalilisha tasnia
Ana tengeneza wigo wa soko, hili ni soko huria halina bei elekeziKwa 50k? Mbona unadhalilisha tasnia
Offer yako inaisha lini?Front-end
HTML, CSS, JavaScript, vue, typescript
Offer
Sàsa unàtaka adhalilike yeye? Mpe hiyo 50k halafu umwamrishe apandishe bei hadi unayoona haidhalilishi tasnia.Kwa 50k? Mbona unadhalilisha tasnia
Kama shida ni pesa ndogo ndogo afanye ujasiriamali kazi zipo kibao za kujipatia kipato cha sikuSàsa unàtaka adhalilike yeye? Mpe hiyo 50k halafu umwamrishe apandishe bei hadi unayoona haidhalilishi tasnia.