Mi yangu nimenunua week iliyopita ila sasa nataka itupa maana inatia kinyaaa yaaani battery yake mmmmmmmmh zero kabisa eti inadrain withing 2hrs inaisha kabisaaaaa sijui tatizo nini na nimenunua mbali sana hata sioni umuhimu wa hiyo warrant yao maana usafiri wenyewe utazidi bei ya simu mara mbili yaaani simu ina siku tisa tu battery inakufa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.