Mbona yai ni ghali kuliko Kware mwenyewe? Nitakutafuta very soon namalizia ujenzi wa banda langu. Tafadhali tutawasiliana. Nitashukuru kama tutawasiliana in two weeks time from today.
oky ila kama watu watapokea tangazo wanaweza kuisha kasababu now wapo 76tuu