Kuna jamaa kaweka tangazo lake kwenye gazeti 'Daily New' la leo 05-05-2011 kwenye ukurasa wa 20 akiomba kukopeshwa milioni 35. anamalizia kwa kusema ' the future belongs to the RISK TAKERS, not the SECURITY SEEKERS'
Hivi wanaija nilifikiri wako kwenye net tu kumbe wanashukia mpaka kwenye vyombo vya umma?