Offa! Jipatie website kwa ajili ya biashara/ taasisi/ n.K kuanzia Tzs 190,000/= na huduma nyinginezo

Ocean Media

Member
Dec 16, 2015
93
82
Jipatie Huduma ya Web Design/ Blog & domain names sawa na Bure kama .com, .net, .org, .co.tz , .ac.tz, kwa Tsh 30,000/ year. Ambazo ni chip sana ni .tk, .ca, .ga, kwa Tsh 15,000/ kwa mwaka mzima.

Pia tuna tunatoa huduma ya web hosting package kuanzia Tsh 3000/ month up tu Tsh 32,000/ year.

Huduma nyingine ni Bulk SMS Service, Facebook Campains/ Ads, Social Media Management, Digital Advertisements, Logo + Branding + Print Design, Technical Support, Email + SMS Marketing, Online TV + Radio installation and broadcasting, 2D & 3D animation banners.

Pia kwa wale wanaohitaji kumiliki website & Blog hatujawaacha nyuma wasiliana nasi kwa gharama nafuu sana. Tunatengeneza nakudesigne website za aina tofauti ikiwemo. Dynamic & Statistic Websites. Like: WordPress, Joomla, Forums like Jamii Forums, Online Marketing & Store like kupana and Jumia, Online video streaming like YouTube. Pia na Web hosting Store.

Pia tunatengeneza Android Apps na kuipublish kweny play store kwa bei poa. Kwa ushauri kuhusiana na huduma hizo tutakusaidia.. Bure kabisa. Asanteni

PHONE: CALL/ SMS/ WhatsApp: 0653435142

OUR CLIENTS

Screenshot-2017-9-12 Dom24 – Dodoma Habari 24(1).png

Screenshot-2017-9-12 SYLIVESTER DOMASA – Great Minds(1).png
 
Attachments

  • Screenshot-2017-9-12 HOME TECO TANZANIA.png
    Screenshot-2017-9-12 HOME TECO TANZANIA.png
    168.9 KB · Views: 611
  • Screenshot-2017-9-12 CDI – COMMUNITY DEVELOPMENT INITIATIVES TANZANIA.png
    Screenshot-2017-9-12 CDI – COMMUNITY DEVELOPMENT INITIATIVES TANZANIA.png
    132.3 KB · Views: 660
Nionyeshe Android App. mliyoitengeneza inisaidie kufikia maamuzi ya kukutafuta.
 
Mkuu, mie nina Idea ya kutengeneza App ambayo itawasaidia Wasafiri kufahamu gari (Ma-bus) yaliyopo kila mkoa, baada ya hapo msafiri anaweza kufanya Booking online na kufahamu hadi seat number yake pamoja na tiketi namba yake. Anafanya hadi malipo online kwa kutumia App. Lakini pia wasafirishaji wa mizigo kwa magari kufahamu magari yaliyopo, capacity yake na gharama yake. Je, unaweza kutengeneza App kama hiyo.?

Kama inawezekana nifahamishe na mmiliki wa App niwe mie na nifahamu jinsi gani nitanufaika. Nimeweka wazi idea yangu hapa jamvini maana sina hofu hata kama itaibwa na kutumiwa basi naamini kuwa nitakuwa nimechangia kitu muhimu katika jamii.
 
unaweza kunufaika kwakulipwa kwa kamisheni sababu utakua kama wakala wa kuuza tiketi.. pili unaweza nufaika kupitia matangazo mbalimbali ya kibiashara au kupitia Google adsence. Karibu tufanye kazi
 
Mkuu kwenye App kuna Matangazo yanakuwaje?
 
Jipatie Huduma ya Web Design/ Blog & domain names sawa na Bure kama .com, .net, .org, .co.tz , .ac.tz, kwa Tsh 30,000/ year. Ambazo ni chip sana ni .tk, .ca, .ga, kwa Tsh 15,000/ kwa mwaka mzima.

Pia tuna tunatoa huduma ya web hosting package kuanzia Tsh 3000/ month up tu Tsh 32,000/ year.

Huduma nyingine ni Bulk SMS Service, Facebook Campains/ Ads, Social Media Management, Digital Advertisements, Logo + Branding + Print Design, Technical Support, Email + SMS Marketing, Online TV + Radio installation and broadcasting, 2D & 3D animation banners.

Pia kwa wale wanaohitaji kumiliki website & Blog hatujawaacha nyuma wasiliana nasi kwa gharama nafuu sana. Tunatengeneza nakudesigne website za aina tofauti ikiwemo. Dynamic & Statistic Websites. Like: WordPress, Joomla, Forums like Jamii Forums, Online Marketing & Store like kupana and Jumia, Online video streaming like YouTube. Pia na Web hosting Store.

Pia tunatengeneza Android Apps na kuipublish kweny play store kwa bei poa. Kwa ushauri kuhusiana na huduma hizo tutakusaidia.. Bure kabisa. Asanteni

PHONE: 0764136922
EMAIL: info@kazisoft.com au sales@oceanmedia.co.tz au oceanmediatz@gmail.com

OUR CLIENTS

View attachment 586718

View attachment 586719

View attachment 586720

View attachment 586722

View attachment 586723
Wee jamaa ni tapeli......kuweni makini na huyu mtu.
 
Kakutapeli nini ndugu tuweke wazi tujue sote
Ni mtu ambaye sio mwaminifu amini hivyo nilishampa kazi ya web na nilimlipa lakini kazi akunifanyia ila alichoniweza ni kuomba malipo yake haraka wakati akijua ni nini anachokusudia.
 
Habari mkuu, Wewe ni mmoja wa wateja wetu au ulisha jipatia huduma kwetu. Tuambie umepata ugumu gani au umetapeliwa nini. Tunawateja wengi kupitia JamiiForums hatujawai pokea kashifa Kama hiyo. Kama kunashida yoyote uliipata ifafanue hapa kuwaimanisha watu asante.
Angalia nisije weka details zote hapa nikazidi kukuchafua....sawa mimi ni mmojawao niliokufahamu pitia hapa JF na kukupa kazi na baada ya malipo tuu mauzi yalipoanzia hapo tena bora hii bei ya sasa Mwanzoni ilikua 250,000/= .... bahati mbaya nipo mbali ila hela yangu siku itarudi tuu.
 
Nyie jamaa hampo serious sipendi kuwaita matapeli lakini HAMFAI.Siwezi kumrecomend mtu aje kwenu.
 
Angalia nisije weka details zote hapa nikazidi kukuchafua....sawa mimi ni mmojawao niliokufahamu pitia hapa JF na kukupa kazi na baada ya malipo tuu mauzi yalipoanzia hapo tena bora hii bei ya sasa Mwanzoni ilikua 250,000/= .... bahati mbaya nipo mbali ila hela yangu siku itarudi tuu.
Tatizo vijana wa Bongo tamaa wanaweka mbele kuliko kutengeneza credibility za kazi.
 
Ndio mkuu, Asante kwa ushauri wako inabidi lawama zote tubebe sisi kama Ocean Media, kwa kifupi hamna mtu aliyetapeliwa, sema tunapokea malalamiko mengi ni kwa upande wa customer support ilikua aipo vizuri kutokana na mtu aliyekuwaakitoa huduma hawali alikua hayuko makini kusikiliza matatizo ya wateja na kuyafanyia kazi kwa wakati. lakini kwa sasa customer support imeboreshwa na wateja wetu wanafurahia huduma. nashukuru wewe ni mmoja wapo.

Nafikiri hapa sio uduma, hapa ni kitu unacho promote ni tofauti na kile unachokwenda kumkabidhi mteja quality ya service and trust natoa mfano halisia wangu,

Tulikubaliana malipo ya web design kwa Tsh250,000/= kisha nikatoa advance ukasajili web yangu kwa Tsh90,000/= unlimited na sharti ni kua baada ya kazi rights zote utanikabidhi.

Bahati mbaya kila ulipokuwa unafika nusu hata ujamaliza ulikua unaomba cash na nakutumia, kilichofuata makubaliano ya web niliyokua naitaji hayakua kama nilivyotarajia (ovyo) kisha nikaomba rights zangu ili niende kwa wazoefu zaidi na nikakulipa kilichokua chako.

Bahati mbaya web niliyokua nimekusudia ambayo ni unlimited na baada ya kuachana na wewe kweli baadhi ya rights ulinipa lakini nilipokwenda kwingine na baada ya kudesign upya na walipotaka ku upload web wakakuta space ni ndogo na aikusajiliwa kama makubaliano yetu (sio unlimited only 500MB tuu). Sikujali nikakwambia unipe psw ili niweze kusonga mbele nisajili kua unlimited wala sikuitaji kukudai or kunisaidia only psw.

Bahati mbaya tena kuanzia hapo kila napompigia simu apokei or nitakupigia ivi na vile pasipo matumaini mpaka leo na hata nilijaribu kuwapa wataalam wangu wakucheki ili uwape support ya kurelease domain ya .com niliyosajili pasipo mafanikio+maudhi yakutosha.

Mbaya zaidi hiyo web imefungwa baada ya Mimi kutaka kuamisha domain yangu ili niwe na access nayo (na hii tulikubaliana tokea mwanzo kabla atujaingia kwenye makubaliano) ilinilazimika kuanza kutumia .co.tz wakati hii nilikua siitaji kwa matumizi yangu ila imenibidi nifungue upya na kutumia .co.tz bila kupenda.

Na kwenye kipengele cha invoice zenu kuna ichi kipengele
1. Website and Domain 75,000/= (nililipa 90,000/=)
2. Year, Cloud Storage 250,000/= Year, Website Updating and Maintenance (sasa hapa Update/Maintenance mna toa nini kama web mmeifunga na nililipa vyote?)

Sasa sijui hao wateja wanaofurahi hiyo uduma yenu ni wapi.
 
Mkuu pole karibu kwangu mimi nikufanyie web usilipie chochote hamisha domain mimi cost ni laki na nusu nimefanya zaidi ya web hamsini
 
Back
Top Bottom