Off Grid Electricity

Off Grid Electricity

Dubs

Member
Joined
Jul 6, 2009
Posts
17
Reaction score
2
Habari! Kama kuna mtu ana kampuni inayosambaza umeme vijijini naomba tuwasiliane. Kuna tenda iko wazi. Pm kwanza.
 
vifaa gani solar au? kama ni solar kuna jamaa wanauza genuine solar za kijerumani
 
Habari! Kama kuna mtu ana kampuni inayosambaza umeme vijijini naomba tuwasiliane. Kuna tenda iko wazi. Pm kwanza.
Habari mkuu, sisi tunasambaza. hebu elezea unataka nini na umeme upi?
 
vifaa gani solar au? kama ni solar kuna jamaa wanauza genuine solar za kijerumani
 
Kama ni Umeme wa biogas kuna mtu namjua ana kampuni yake vp nimshtue?
 
kwa wale wanaoitaji wa solar za m-power(off grid) wasiliana nami fasta ila kwa mikoa ya kanda ya kaskazini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom