mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,934
Mkuu itakuwa 3,612,000/=Ninahitaji square mt 34.4 , utafanya kwa bei gani jumla pamoja na kufunga.
Materials za wapi?
mkuu hii bei ni mpaka na kufungiwa (installation)Habari wadau,
Infinity works inatoa offer kwa wale wanaotaka kupendezesha nyumba zao kwa kuweka dirisha za aluminium.
Kutokana na ugumu wa maisha na upatikanaji wa fedha, tumeamua kuwaleta offer kama ifuaatavyo
Madirisha
5*5 ni 237,000
5*6 ni 284,000
6*6 ni 340,000
6*7 ni 396,000
Offer hii ni kwa wakazi wa dar.
piga simu namba 0620775877/0758358580
Ofisi zetu ziko tegeta njia ya wazo.
karibuni sana.
Yes mkuu kama uko dsm na usafiri pia...mkuu hii bei ni mpaka na kufungiwa (installation)
MIlango inategemea na urefu mkuu, na kioo kama ni mirefu yenye vent na kioo cha kawaida kama cha madirisha na rangi ya bronze ni 320,000 kama ni mfupi usio na vent ni 290,000. hapo nina assume ni milango ya kawaida tuMilango je?
Habari wadau,
Perfect ALuminium Fabricators inatoa offer kwa wale wanaotaka kupendezesha nyumba zao kwa kuweka dirisha za aluminium.
Kutokana na ugumu wa maisha na upatikanaji wa fedha, tumeamua kuwaleta offer kama ifuaatavyo
Madirisha
5*5 ni 237,000
5*6 ni 284,000
6*6 ni 340,000
6*7 ni 396,000
Offer hii ni kwa wakazi wa dar.
piga simu namba 0620775877/0758358580
Ofisi zetu ziko tegeta njia ya wazo.
karibuni sana.
Mkuu mkoani tunatengeneza gharama za kusafirisha mzigo na mafundi ni juu yako au tunaweza kuja kutengeneza huko huko.Mikoani gharama zikoje mkuu?
Mkuu mkoani tunatengeneza gharama za kusafirisha mzigo na mafundi ni juu yako au tunaweza kuja kutengeneza huko huko.
Karibu sana
Karibu sana mkuuAsante