habari zenu waungwana,mwenye kuhitaji internet ipo kwenye ofisi yangu,gharama yangu kwa mwenye kuhitaji ni shilingi mia sita kwa saa,ofisi ipo ilala au kwa mawasiliano unaweza kunicheki kwa namba hizi 0718 30 21 32
Mia sita kwa saa ????? Tigo huwa wana ofa yao ya lisaa shilingi 100 kwa MB 200 ina mana kwa 600 utatoa 1200MB. Mkuu hizi MB ulizokopa za tigo zinafanya usiwaze kazi hebu rudini kazini. Mods tunaomba thread ziwe zinalipiwa kuwakwamisha wajaza server kama hawa.

Mkuu kwenye ofa maalum kuna option ya kifurushi cha lisaa. Kwa shilingi mia unapata MB 200 au unapata Dakika ishirini tigo to tigo. Option ni yako.
MB 200 ni ndani ya lisaa limoja sasa inategemea na speed ila mimi kama weekend nikiweka 500 nakuwa najiunga kabla lisaa halijaisha ili hiyo chenji isiliwe. Sasa huyu jamaa sijamuelewa kabisa halafu kawa kimya sijui kaitwa na boss wake juu ya haya anayopost humu.